2 Chronicles 23:16

16 aKisha Yehoyada akafanya agano kwamba yeye na watu wote na mfalme watakuwa watu wa Bwana.
Copyright information for SwhNEN